Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Acha tuu me nimchukua maamuzi magumuUmeona mkuu Kuna mda unamiss account kwa ajili ya player mmoja
Acha tuu me nimchukua maamuzi magumuUmeona mkuu Kuna mda unamiss account kwa ajili ya player mmoja
Unaingia moja kwa moja kwenye list ya akina Ten hag wa Jf😃😃Hiki kikosi ninachokisuka na huu mfumo ninaoupigia mazoezi ajitokeze mmoja tu siku za hapo mbeleni atarudi kusimulia humu
Ni sahihi mkuu....namsubiri hapaheisGilberto
Unaanza na H ndogo
Uyo vitinhq ange endana kabisa na desire doue 😂😂View attachment 3461762View attachment 3461763opponent ukija uchague na team hapo😂😂
Razorblade shemeji nataka nimpe account mojawapo🤭
Unaonaje tukifanya kesho?Tuma username
32598825Mkuu npo online sina username yako....nipe code nije mkuu
Sawa itakua usiku sasa muda kana huuUnaonaje tukifanya kesho?
AmirMaftah
NakujaKandambili1 nishakubali request mkuu, ingia online nikupe invite kaka
Mkuu nadhani nisikuharibie furaha uliyonayo kwa sasa maana nabaragaza na kubananga na sio masiharaHahaha twende friend mm ndo kibonde humu
Mkuu sio masihara nikionesha draft ya mojawapo ya kikosi changu kimoja watu watapotea humuUnaingia moja kwa moja kwenye list ya akina Ten hag wa Jf😃😃
Eniwei kisuke mkuu sisi tupo😃😃
HahahahaMkuu nadhani nisikuharibie furaha uliyonayo kwa sasa maana nabaragaza na kubananga na sio masihara
Panda mkuu nakusubiri.
Nipo mkuu, tuma invite maana nakuona upo offline.Mkuu
Hiyo account ndo unatumia kwenye ligi hii?Uje na hiyo account