eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Namm nliomba jana kwa Selikavu naamini NEGAN atatuelekeza

Nnachojua unatumia das ile inabidi uwe vizuri na haraka kidogo
Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.

Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.

Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
 
Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" unayotaka kwenda kumtoka mpinzani.

Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.

Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Nashukuru mkuu ....nitazijaribu hizi maana nacheza mpira basic mno
 
Hizi sifa sasa wakuu
Screenshot_20250831-192834.jpg
 
Skill moves nyingi hazipo effective kwenye pvp sababu ya lag. Skills za muhimu ni "double touch" na "marseille turn". Ku perform hizi skills una bonyeza "dash" kisha kwa haraka unapangusa "joystick" upande unaotaka kwenda kumtoka mpinzani.

Skill ingine effective ni "fake shot" hii inavunja command ya match up ya mpinzani inamfanya mpinzani asiziwie pass au shut8. Ku perform fake shot unabofya shoot kisha kwa haraka unapangusa "joystick" kwenye direction unayotaka kumfinyia mpinzani.

Skill ingine "pass and move" nadhani wengi wanaijua hii.
Joystick ni ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom