Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Hongera naona unaikribia dvn 1 shida ya hao mabwana ukifungwa unapoteza point za match 2 nzima Yani ....hapo ukipoteza unajipata 1670 huko mkuuππ€£π€£kwa leo naishia hapa
View attachment 3459221
Crossing ni NeganππAsante mkuu Kuna masomo mawili jiandae kunielekeza crossing na chenga Kuna muda mnazinguka had nashangaa mnawezaje π€£π€£π€£
Yes mkuu hahahah Kuna mfumo ukicheza nakumanage vizuri kama game 1 Ile ukicheza pass njia zinafunguka sanaAmna siku nitakuchezea mchezo wangu wenyewe ngoja nitajifosi kesho uoneππ
Watanielekeza aiseh mm napiga na ile match up aisehCrossing ni Neganππ
Kuzunguka ni Gilbertoππ
ni formation unavyoiset mkuu na unavyojiamini kufanya maamuzi....4-2-2-2 ni nzuri sana na naona inauwezo wa kupambana na formation zote nzuriNipe mfumo wa mashambulizi dk 90 kama liverkuku sasa mkuu
Hapo unatumia viungo wa namna ganini formation unavyoiset mkuu na unavyojiamini kufanya maamuzi....4-2-2-2 ni nzuri sana na naona inauwezo wa kupambana na formation zote nzuri
Mtego huo ukwni bonde kwakua akili imechoka dvn ukoππTulud moja ya dakika 15 ukaniueπππ
πni hatariHongera naona unaikribia dvn 1 shida ya hao mabwana ukifungwa unapoteza point za match 2 nzima Yani ....hapo ukipoteza unajipata 1670 huko mkuu
Mkuu bora utumie ya dunia nzima hiyo ya wabongo ni balaa, watu weusi wanasifa sana πππHivi wadau bora small range search au ya dunia nzima maana kila tapo weka wahuni wote wa motoππ
Wana kamia sana asee mtu kajaza badge za dvn 1 tatu, ila ana cheza kqmq ndo kwanza ana itafuta ππMkuu bora utumie ya dunia nzima hiyo ya wabongo ni balaa, watu weusi wanasifa sana πππ
Kuna watu wanajiskia raha tu kukusanya hizo badge πWana kamia sana asee mtu kajaza badge za dvn 1 tatu, ila ana cheza kqmq ndo kwanza ana itafuta ππ
Alafu sijabadili chochote basi tuu vidole vilikuwa vizitoYes mkuu hahahah Kuna mfumo ukicheza nakumanage vizuri kama game 1 Ile ukicheza pass njia zinafunguka sana
AMF wawe Creative Playmaker au Hole players...Hapo unatumia viungo wa namna gani
Na we ulikuwa unatafuta kibonde wako humu sio πDah ananikandia ngoja waje wenye ushahidi wa matokeo uone navyokandwa.
Kandambili1 Mill broh Mr Devil Gilberto_ njoeni muweke matokeo aone nilivyo kibonde.
Kufa kufaana πNa we ulikuwa unatafuta kibonde wako humu sio π
Roho mbaya tuu hadi kwa wagenKufa kufaana π
hahaha watu wanabonda kaka.....Kuna muda niliona Ile large area wengine wanavikosi vikubwa tu ila hawajui sana...Hivi wadau bora small range search au ya dunia nzima maana kila tapo weka wahuni wote wa motoππ