eFootball Special Thread

Situation inayo eleweka ni ya Razorblade unaingia match una goal zako 5 mkononi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น unaenda kutafuta za nyongeza ,ila ya NEGAN bado una ingia kwa kujihami
Uhakika kabisa ila mie nimemshangaa sana Warld, hakuwa ametulia vizuri kapata hizo goli alipaswa kutulia zaidi ili apate nyingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ