Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Yeye aandae ambulance tu ๐Ulikuwa hujaona anakuletea michezo ya kandambili ujae๐คฃ๐คฃ
Halafu Cannavaro mjanja sana anamuachia Beraldo apige tackling za ajabu ajabu ๐๐น๐น game yangu na wewe lazima mtu atoke na red mana kukaba ni Buti buti
Inabidi safari hii final iwe live wakuu ๐๐๐๐Kungekuwepo na mtu wa kustream tuangalie asee๐๐
Sasa ndo waingie wenye simu ambazo zinasupport๐๐Inabidi safari hii final iwe live wakuu ๐
Dah hapo sasa ndo kipengele.Sasa ndo waingie wenye simu ambazo zinasupport๐๐
Mkuu awali ya yote huenda nikatakiwa nifute game kisha nilishushe tena, bado sijakuwa na uhakika kama naweza ingia room leo.Sangapi nikupe ushindi maestro
Ooh tusubiri basiMkuu awali ya yote huenda nikatakiwa nifute game kisha nilishushe tena, bado sijakuwa na uhakika kama naweza ingia room leo.
Nikifanikiwa tutakiwasha.Ooh tusubiri basi
Sema match up imerudi nimeanza wawasha tena....nitafika....pvp naona rahisi AI n motoKaza hakuna ukikata tamaa hutoboi me leo nimecheza na point 1733 to 1784 tangu asubuhi saa nne๐๐๐
Nikifika tuu 1784 napigwa au nadraw ๐๐tangu saa nne napambana tuu mwishon kabisa nimesema sasa hii ya mwisho nitaendele mwezi ujao ndo nikashinda๐๐
A wapi hatari ni Kandambili1 the master ๐๐๐น๐นkaka saivi umekua na hatari, Baada ya vijana kutaka kukuzoea vibaya
Aha wapi mtaungana na ndugu zenu wakenya๐ณ๐๐Unatolewa leo
Kuanzia Saa 4 na nusu .Tutakipiga usiku