eFootball Special Thread

Me ilikuwa sawaa nimekipiga na Gilberto fresh tuu nikafungwa zangu safi kabisa 🀣🀣
Kwangu nilikuwa nashusha kitu cha 200MB kinaniandikia dakika 40+ mpaka kukamilika πŸ˜‚

Hii laini nimepigwa, nifanye kurenew tu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…