Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Nikipiga buti injury itawaka yenyewe automatic 😂Plus injuries on🤣🤣
Duh ni balaaHapo mpka uformat simu
Nimezipata hiyo na kwangu position nimepata second striker ...naona yupo vizuri
Yake kabisa ni striker instinct ila agility ni unyama sanaRecommended booster ya hazard niipi
Achana na mimi😃😃😃Haridhike ili aumwe? 😂
Sema hata mimi niliondoka room ili nipumzike tu nilitaka nikuvunjie wachezaji wote, ningepiga mabuti hadi injury ingewaka automatic 😂😂😂
Theconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuu🤣🤣🤣Sikutaka🤣🤣🤣niliona kabisa naanza kukumud ukanitolea batgoal game inayofata nashanga cross zimekuwa nyingi kumbe kuna Striker refu kuliko goli🤣🤣🤣
Daah hii update itolewe yan wewe leo wa kunizidi interception mkuu😃😃😃sijui niliingia uwanjani kufanyaje sasa😃😃😃
View attachment 3446746
Ukavunja nusu kikosi🤣🤣Nilienda training kwa Gil, nafanyia kazi tackling 😂😂😂
Ngoja ile couple ikusikie me sipoNi utapeli 😂
Ivi kila round lazima mkutane😃😃Mie najiandaa kucheza kanyaga twende na Devil 😂
Hamna namna nyingineDuh ni balaa
Matchup ipo vizuri hamjui kuitumia tu 😅 na kila mtu atafute ukabaji wakeKaka tunateseka mno😃😃😃
Haikubali kurudi nyuma hata u reset simu hata hiyo mi ilinishinda kutumia ..sema assaivi naitumia hivo hivo kibishi tu. Kuna muda game linalag kishenz ila mpaka nishaizoea nakaba na kucheza hivo hivo mpaka linatulia.Ndio huyo huyo mchawi na ku reverse nimeshindwa
Naona hii update wewe haikusumbui kama wengine twenzao room badae 😄
Ungekuja na plan kama ya Razorblade mabuti tu 😅Sikutaka🤣🤣🤣niliona kabisa naanza kukumud ukanitolea batgoal game inayofata nashanga cross zimekuwa nyingi kumbe kuna Striker refu kuliko goli🤣🤣🤣
Daah hii update itolewe yan wewe leo wa kunizidi interception mkuu😃😃😃sijui niliingia uwanjani kufanyaje sasa😃😃😃
View attachment 3446746
😃🙌Theconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuu🤣🤣🤣
Dah sikujua ngoja na mimi nikazeHaikubali kurudi nyuma hata u reset simu hata hiyo mi ilinishinda kutumia ..sema assaivi naitumia hivo hivo kibishi tu. Kuna muda game linalag kishenz ila mpaka nishaizoea nakaba na kucheza hivo hivo mpaka linatulia.
Untk anifunge 5Theconqueror5 kaka nanyaswa na Gilberto_ wewe upo unaona tuu🤣🤣🤣
Jamaa anacheza nafasi zaidi ya 3 aisee ni card nzuri sana.Nimezipata hiyo na kwangu position nimepata second striker ...naona yupo vizuri
Yani nikiweza kupiga tackling vizuri itakuwa ni red card tu uwanjani 😂Ukavunja nusu kikosi🤣🤣