Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Sijampata bado ila anafika 102.Aliompata Eden hazard vipi anfika rate ya ngap
Sijampata bado ila anafika 102.Aliompata Eden hazard vipi anfika rate ya ngap
102 japo me sijampata mpka kesho nishakosa penalty mbili 😃😃Aliompata Eden hazard vipi anfika rate ya ngap
Huwa nafanya kazi ya kupiga penalty asubuhi, leo nimesahau yani nipo njiani ndo nakumbuka 😂102 japo me sijampata mpka kesho nishakosa penalty mbili 😃😃
Game linatutia uchiziHuwa nafanya kazi ya kupiga penalty asubuhi, leo nimesahau yani nipo njiani ndo nakumbuka 😂
Nilivyosikitika utadhani nimesahau kitu cha maana vile 😂
PLAY CRAZYGame linatutia uchizi
Kaza 😂 hata huyo wa jana unaweza tu mkachezaAu chukua nafasi yangu 😆😆😆
Maana nishatia aibu
Sijui waliwaza nn kuweka hilo tangazo kwenye zile boards za uwanjanPLAY CRAZY
Update insadiki hayo maneno 😂Sijui waliwaza nn kuweka hilo tangazo kwenye zile boards za uwanjan
Manual nishawahi kujaribu . Kuna goal utafungwa utabaki unashangaa na Efficiency ya pass inapunguaView attachment 3446390
Wenye nafasi jaribuni hii halafu tupeane mrejesho hapa kama inafanya kazi ipasavyo.
Hi ni update mpya, unajaribu kwanza ukishindwa unaachana nayo.Manual nishawahi kujaribu . Kuna goal utafungwa utabaki unashangaa na Efficiency ya pass inapungua
Ni hayo tu
Mtatafuta njia zote 😅View attachment 3446390
Wenye nafasi jaribuni hii halafu tupeane mrejesho hapa kama inafanya kazi ipasavyo.
Hahahaha kumbe kuna hatari kiasi hicho 🤣🤣🤣🤣Ufungwe 10 usingizie Madrid