Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Sawa mkuu.. leo fanya ucheze sasaDah nilijisahau 😆😆😆
Sawa mkuu.. leo fanya ucheze sasaDah nilijisahau 😆😆😆
Sawa kaka 😅😅Admin niwekee goli langu moja linaweza nimeba huko mbele ya safari..
Nishajiandaa au hujasoma vizuri nilichoandika 😂
Kazi kazi 😂Wadau uyu mbappe kawa wa moto 😅😅 Bat goal itabidi apumzike hadi al Hamisi
Wakati Gilberto anaongea ulifikiri utani??😃😃Wadau uyu mbappe kawa wa moto 😅😅 Bat goal itabidi apumzike hadi al Hamisi
Saiv we tafuta tutorial za kumkaba Victor osimenh 😃😃😃Nishajiandaa au hujasoma vizuri nilichoandika 😂
Nyekundu zitatembea leo 😂Saiv we tafuta tutorial za kumkaba Victor osimenh 😃😃😃
Piga sana butiNyekundu zitatembea leo 😂
Kanuni inasema chini ya wachezaji 7 mechi inahairishwa.Piga sana buti
Hii gameplay ni upuuzi tu, wao wanataka watu washambulie tu kazi ya kukaba iwe ya AI.KONAMI #bring back older gameplay watu tunadhalilika😀
Au chukua nafasi yangu 😆😆😆Sawa mkuu.. leo fanya ucheze sasa
Hakuna kukimbia, malizia aibu yako mwenyewe 😂😂😂Au chukua nafasi yangu 😆😆😆
Maana nishatia aibu
Wasipobadili itabidi tu adapt tuHii gameplay ni upuuzi tu, wao wanataka watu washambulie tu kazi ya kukaba iwe ya AI.
Waturudishie tukabe wenyewe AI nao uozo tu, kwanza yanabutua hovyo 😂😂😂
Malalamiko yamekuwa mengi, inabidi wabadili tu huu ni uozo.Wasipobadili itabidi tu adapt tu
Ana hatariWakati Gilberto anaongea ulifikiri utani??😃😃
Edo kissy atathibitisha hii badae...mapema tu narusha tauloMichezo hiyo Kandambili 😃😃