eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Masta Kandambili1 endelea kuwanyoosha 😃🔥

huyo Issakson makanga (Mtuwa) na Alexander Lukashenko wasipoonekana leo nafasi yao tutaingia mimi na Selikavu ..utavuka ila kwa mbinde 😅
IMG-20250819-WA0238.jpg

DAY TWO.
IMG-20250819-WA0235.jpg

Mechi 2 kama kawaida.

CC- Corrie de killer NEGAN Razorblade Mr Devil Edo kissy Kandambili1 Issakson makanga Alexander Lukashenko Mill broh Warld
 
Plus smart assist ilikuwa ni lazima tu Negan akae😃😃
Kinachoniua zaidi ni zile auto tackling za smart assist kupora mpira mabeki wangu.

Nadhani wewe mwenyewe umenifunga magoli mengi kwa kupokonya mpira mabeki zangu😀 unajuaga kabisa ukiona beki wangu ana mpira huwa una press unajua goli hili hapa😀
 
Nikiona beki wako ana mpira nashika dash& pressure kabisa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom