Sawa mkuu.. leo fanya ucheze sasaDah nilijisahau πππ
Sawa kaka π πAdmin niwekee goli langu moja linaweza nimeba huko mbele ya safari..
Nishajiandaa au hujasoma vizuri nilichoandika π
Kazi kazi πWadau uyu mbappe kawa wa moto π π Bat goal itabidi apumzike hadi al Hamisi
Wakati Gilberto anaongea ulifikiri utani??ππWadau uyu mbappe kawa wa moto π π Bat goal itabidi apumzike hadi al Hamisi
Saiv we tafuta tutorial za kumkaba Victor osimenh πππNishajiandaa au hujasoma vizuri nilichoandika π
Nyekundu zitatembea leo πSaiv we tafuta tutorial za kumkaba Victor osimenh πππ
Piga sana butiNyekundu zitatembea leo π
Kanuni inasema chini ya wachezaji 7 mechi inahairishwa.Piga sana buti
Hii gameplay ni upuuzi tu, wao wanataka watu washambulie tu kazi ya kukaba iwe ya AI.KONAMI #bring back older gameplay watu tunadhalilikaπ
Au chukua nafasi yangu πππSawa mkuu.. leo fanya ucheze sasa
Hakuna kukimbia, malizia aibu yako mwenyewe πππAu chukua nafasi yangu πππ
Maana nishatia aibu
Wasipobadili itabidi tu adapt tuHii gameplay ni upuuzi tu, wao wanataka watu washambulie tu kazi ya kukaba iwe ya AI.
Waturudishie tukabe wenyewe AI nao uozo tu, kwanza yanabutua hovyo πππ
Malalamiko yamekuwa mengi, inabidi wabadili tu huu ni uozo.Wasipobadili itabidi tu adapt tu
Ana hatariWakati Gilberto anaongea ulifikiri utani??ππ
Edo kissy atathibitisha hii badae...mapema tu narusha tauloMichezo hiyo Kandambili ππ