Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Good game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka 😃😃😃
Good game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka 😃😃😃
Mkuu mimi na bahati bado naitembelea mkuu.... Razorblade nae atapata bahati atamfunga tu mkuu.Michezo hiyo kandambili michezo hiyo njoo nayo tena
Kama ummefunga Negan kabla ya Razorblade utaambia nn watu🤣🤣
Nifundishe namna ya kumfunga mkuu 😂Mkuu mimi na bahati bado naitembelea mkuu.... Razorblade nae atapata bahati atamfunga tu mkuu.
Sema pale vyovyote alikuwa nafungaaaBeki kakuchoma bhana refa afanyaje sasa, umemchapa buti Batigoal akiwa hana mpira 😂😂😂
Mkuu account ndo hii hii hamna nyingine 🤣🤣🤣😃😃Aje na account yake sasa atufunge vizuri
hahaha account ndo hii mkuuAfanye chap😀
Pow powSelikavu tuondoke
Huenda ni bahati mkuu maana Kuna muda tulikuwa sawa kabisa kwenye kilakitu..Nifundishe namna ya kumfunga mkuu 😂
Hili game sasahivi halina ufundi 😂Sema pale vyovyote alikuwa nafungaaa
Jamaa ana balaa anaongoza 6 akawasha blue alitaka aniueGood game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka 😃😃😃
Matokeo haya akisi alivyocheza mkuu... NEGAN kacheza vizuri sana...sema bahati pia imenibebaGood game umepiga mtu Agg ya 10 acha hizo kaka 😃😃😃
Washa smart assist chap tu😀Nifundishe namna ya kumfunga mkuu 😂
sikuwasha mkuu ....nilikuwa nacheza kwa presha mno.. unaubonda sanaJamaa ana balaa anaongoza 6 akawasha blue alitaka aniueView attachment 3445719e😀
Nikabaki nacheka nikasema huyu kandambili anataka anipige 10 nikimbie jukwaa nini😀 dakika ya 46 chuma 6sikuwasha mkuu ....nilikuwa nacheza kwa presha mno.. unaubonda sana
Nipe mbwinu kiongozi 😂Huenda ni bahati mkuu maana Kuna muda tulikuwa sawa kabisa kwenye kilakitu..
Nafikiri ukicheza mpira utamfunga... Yani miliki sana mpira pia piga basi za haraka..nahisi hizo zitasaidia.
Hahahaha sema nilijua nikicheza defensive nimekwisha nikawa Sina namna.Nikabaki nacheka nikasema huyu kandambili anataka anipige 10 nikimbie jukwaa nini😀 dakika ya 46 chuma 6
Mbinu ndo hiyo mkuu....cheza mpira miliki sana mpira bas...maana anabalaa akifika golini tayariNipe mbwinu kiongozi 😂
Mtasema tu 😂Washa smart assist chap tu😀
Ahshante shana 😂Mbinu ndo hiyo mkuu....cheza mpira miliki sana mpira bas...maana anabalaa akifika golini tayari