eFootball Special Thread

Plus smart assist ilikuwa ni lazima tu Negan akae😃😃
Kinachoniua zaidi ni zile auto tackling za smart assist kupora mpira mabeki wangu.

Nadhani wewe mwenyewe umenifunga magoli mengi kwa kupokonya mpira mabeki zangu😀 unajuaga kabisa ukiona beki wangu ana mpira huwa una press unajua goli hili hapa😀
 
Nikiona beki wako ana mpira nashika dash& pressure kabisa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…