Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,153
- 33,937
Ni motoOya hii update ya 2026 ni š„
Ni motoOya hii update ya 2026 ni š„
Mournhošššawe wa QC defence yake itakuwa nzuri...View attachment 3440223
View attachment 3440224
Hivi ujasiri wa kuniambia niachane na hili game utautolea wapi? Bora niitunze account nije nimuachie mwanangu atambe nayo ššš
Samsung yako haipošš
Acha matusi mkuu šššSamsung yako haipošš
Nilikuwa nawaza nipate simy nyingine before update lkn ngoma imekuwa ngumuAcha matusi mkuu ššš
Samsung natumia kwa mawasiliano ila kwenye game natumia Oppo tena copy na hapo sijaiona hata Oppo original ššš
Kwani simu yako imehusika hapo?Nilikuwa nawaza nipate simy nyingine before update lkn ngoma imekuwa ngumu
Iyo ni size ya storage unayo takiwa kua nayo kwa simu,ila pia linaweza fika 2gb kama zilizo pitaGb 2.7
Haipo ila storage issuesKwani simu yako imehusika hapo?
Yeah walisema atleast uwe na hiyo storageIyo ni size ya storage unayo takiwa kua nayo kwa simu,ila pia linaweza fika 2gb kama zilizo pita
Punguza mafaili sasa.Haipo ila storage issues
Nimehamisha vitu leo kesho nitarestorePunguza mafaili sasa.
Unyama.Nimehamisha vitu leo kesho nitarestore
Fanya ulishushe kaka nitakupa maelekezo yoteššSijawahi kucheza hili nasikia madogo mtaani wanalisifia
Ivi Vick van de van wako humtumii eehššyupo wap beki speedi 90Unyama.
Hata sub hayupo mzeeššš vick van de Van maspeedš¤£š¤£š¤£View attachment 3439666
Nimeujaribu huu mfumo mechi kadhaa nimeona kuna utofauti hasa kwenye kuzingatia stamina za wachezaji, tofauti na naotumia sasa wachezaji wanachoka mapema na vile sipendi kwenda kufanya subs katikati ya mechi basi imekuwa changamoto.
Selikavu ndiyo sababu maana alikuwa akimuelekeza Warld kukabiliana na formation yangu bila papara ššš
Shukran Kaka ngoja nitulie nilishushe halafu nataka nimkande Bill The Don nije kumtamgaza Jf.Fanya ulishushe kaka nitakupa maelekezo yotešš
Mmoja alfu tatu š