Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashioKhalas 😂
Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashioKhalas 😂
Make hapo kwanza ncheke... 😂Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashio
Live Booster ya shooting ikiwaka hiyo🤣🤣🤣mtaumuka sanaMake hapo kwanza ncheke... 😂
Huyo Leao wa live booster au mwingine? 😂😂😂
Card gani sasa hiyo kama unabet 😂Live Booster ya shooting ikiwaka hiyo🤣🤣🤣mtaumuka sana
Ataanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) 😂Saiv nitakuwa nakaba mpka akimbie
Relax Leao kama pedri kila week form ni A au B😃😃Card gani sasa hiyo kama unabet 😂
Kwann unampenda sana Beraldo😃😃au kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapoAtaanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) 😂
Mie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake 😂😂😂Relax Leao kama pedri kila week form ni A au B😃😃
Mkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.Kwann unampenda sana Beraldo😃😃au kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapo
hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sanaMkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.
Ninao Foden na messi😃😃Mie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake 😂😂😂
Mkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sana
Sawa.Ninao Foden na messi😃😃
Mimi nitamuomba huyo mkuu na AmrabatMkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.
Amrabat hawezi kupa 😃😃Mimi nitamuomba huyo mkuu na Amrabat
mbona niliona hamtumii hivi karibuni mkuu hahahaAmrabat hawezi kupa 😃😃