Leao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashioKhalas π
Make hapo kwanza ncheke... πLeao ni Drogba wako wa nne na Amrabat kama kifungashio
Live Booster ya shooting ikiwaka hiyoπ€£π€£π€£mtaumuka sanaMake hapo kwanza ncheke... π
Huyo Leao wa live booster au mwingine? πππ
Card gani sasa hiyo kama unabet πLive Booster ya shooting ikiwaka hiyoπ€£π€£π€£mtaumuka sana
Ataanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) πSaiv nitakuwa nakaba mpka akimbie
Relax Leao kama pedri kila week form ni A au BππCard gani sasa hiyo kama unabet π
Kwann unampenda sana Beraldoππau kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapoAtaanzia sub, nataka kutumia 3F(1CF) π
Mie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake πππRelax Leao kama pedri kila week form ni A au Bππ
Mkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.Kwann unampenda sana Beraldoππau kisa ana visionary pass mweke mtu kazi VVD hapo
hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sanaMkuu Beraldo rate zake kwenye defence ni kubwa kuliko huyo VVD, hata wewe ungekuwa nae usingemuweka nje na kumuanzisha VVD.
Ninao Foden na messiππMie najua unamsifia kwa sababu huna mbadala wake πππ
Mkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.hiyo card ya VVD wa 101 kaka huijui tuu ni complete package aseee na Cannavarro itakuwa partnership nzuri sana
Sawa.Ninao Foden na messiππ
Mimi nitamuomba huyo mkuu na AmrabatMkuu hiyo rate ya 101 tu, hamna kitu hapo maana amezidi kwenye header tu ila kwingine kote ni takataka.
Amrabat hawezi kupa ππMimi nitamuomba huyo mkuu na Amrabat
mbona niliona hamtumii hivi karibuni mkuu hahahaAmrabat hawezi kupa ππ