eFootball Special Thread

NEGAN Incase hii exchange ya wachezaji ikawa kwel nitakuja sana kwako🀣🀣🀣

Kante hiyo ni done deal haina mjadala...

Namtaka messi wa 105 nikupe Van Basten🀣🀣🀣

Rijkard plus Casillas ile nakupa Cannavarro πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Boss kalewa
 
Kante anakufaa ila Van basten fox in the box nimpeleke wapiπŸ˜€ mchukue Drogba wa Razorblade πŸ˜€
 
Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana nambaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Utaniambia card ipo unaitaka ila sio Owen πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Jitu lina uzito wa Gb 2.7 update nzima ya konami inaingia kwake nalipeleka wap🀣🀣🀣
Ndiyomaana kwangu anakula Counter target, akikulalia tu yeye mbele πŸ˜‚

Hana speed ila anatoa assist balaa πŸ˜‚
 
Namtaka huyo messi wa 105 kwako nae hana nambaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Utaniambia card ipo unaitaka ila sio Owen πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sasa mkuu nawe kwa card gani ulizonazo za kubadilishana bhana, kutupigia kelele tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…