eFootball Special Thread

Acha tu. Nataka nianze kusave nifikishe coins 10000+ nimpate Totti au Cruyff mwakani sijui nitaweza kusave😃
Kaka kusave ni ngumu 😂😂me coin zangu zinaishia sana kwa wale POTW...

Hapa nimefungua match pass ya Value kwa coin miambili wamenipa Joao Neves... Kuna roho inanimbia nitafute mianne nifungue premium wanipe De jong wa mia...

Uzur wa pale unatumia mia nne unaludisha kama mia mbili hivi na vizawadi kibao juu

Iv de jong (aliyepo pale ni Orchestor) nataka apige 6 kwenye formation yangu...
Nimeona anaweza kucheza CB vip atakuwa kama anchor man au naye mpk nimwekee deep line NEGAN


Maana sita yangu namtegemea Rodri ndo anchorman naturally hawa wengine kama Guardiola akicheza nimwekee deep line???
 
Eti mia ngapi? Hiyo inaitwa honeymoon mara ya kwanza umekata utepe sasa subiri bei za juu kwenye match pass😃.
 
Hata anchorman naona watu wengi wanamuwekea deep line kwenye kuzia inakua kama back 5. Wewe test combo yako kama atakubali basi muweke iapo ana defensive awareness ndogo muweke na box to box kwenye double pivot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…