Sio mbali😀Ushafika huku kwan kutoka room hadi Jamiiforum sio mbali 😃😃
Mfumo wangu uli kataa game ya kwanza , game ya pili nili badili formation 😅😅naona uli muwekea tight marking bati goalhahahaha nachukia penalty hahahaha.....well done mkuu....unacheza vizuri sana Kuna mistakes nilizifanya game ya pili nikaweka tu twende sawa nkarudi na goli 2... Umeiva sana mkuu natafuta suluhisho la huyo bwana batistuta.. zile long balls hapana
Nimelud room ushasepa...Sio mbali😀
Nilichoka haram ball😀 nikaanza kudribble😀Good game😃nimekuvizia vizuri mwishoni
Na leo umenichezea haram Football haswa mpka nikawa nacheka😃😃Nilichoka haram ball😀 nikaanza kudribble😀
Umechomoa betri 😹😹Unasema🤣🤣
Ni hatari 😀Na leo umenichezea haram Football haswa mpka nikawa nacheka😃😃
Mimi nitakipiga na kandambili😀
Kesho hiyo ukaone moto huoMimi nitakipiga na kandambili😀
Nikasema leo kazi ninayo😃😃Ni hatari 😀
😹😹😹 kaka kaji chimbie training, nimechukua ma skills ya Kandambili1Mimi zidi ya Negan
Game ya Kwanza
View attachment 3437081
Game ya pili nilitoka kwenda kuanzisha mechi chap nikasahau kuscreenshot ila matokeo yalikuwa hivi View attachment 3437082
Game ya tatuView attachment 3437083
NEGAN much appreciation dakika 300 zimeamua
Nikamkabe puskas sasa😀Kesho hiyo ukaone moto huo
😃😃😃 Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee😃😃😃😹😹😹 kaka kaji chimbie training, nimechukua ma skills ya Kandambili1
Yule jamaa anafunga aseeeNikamkabe puskas sasa😀