Sikuvimbii masta wala siwezi endea training,Aisee hongera sana, enda utrain kwanza halafu uje kuvimba tena π
Mkuu huyu kijana ni mzito unaweza sema yeye ndo Drogba, ila hizo ndege Maa shaa Allah amejaaliwa πππMwambie aongeze speed
Hahaha wanataka mm nikuzuie wew usiende robo fainali kwelii
Hatujawahi panic humu, siye kwetu kila kitu burudani πSikuvimbii masta wala siwezi endea training,
Game nacheza kama burudani ndiyo maana huwezi ona napanic nkifungwa.
We umepita bila wajumbe kaka πHahaha wanataka mm nikuzuie wew usiende robo fainali kwelii
Haha huu unyama nausubiria π
Hii naikosa maana kukesha nacheza nimejaribu jana leo nimepitiliza muda wa kuamka πππ
Nakubali braza.Hatujawahi panic humu, siye kwetu kila kitu burudani π
Hahaha nitajaribu bahati hapo baadaeWe umepita bila wajumbe kaka π
Kwel kabisa mkuu ππHuyu halioni goli hadi anapata muda wa kupiga pass 200 inabidi atumie miwani . Razorblade
Kama niliota vile kutafuta badge ya division one πππHaha huu unyama nausubiria π
Leta hela nikuuzie badge yanguHii naikosa maana kukesha nacheza nimejaribu jana leo nimepitiliza muda wa kuamka πππ
Sitaki kuwa verified wanasemwa sana πLeta hela nikuuzie badge yangu
Badge ya division one fala weweSitaki kuwa verified wanasemwa sana π
πππ ratiba ya Ijumaa kidogo inakuwaga nzuri, leo ngoja nijaribu kwenda dvn 3 kwanza.Badge ya division one fala wewe
Asa mbona umetag watu wawili tofauti π
Imenisikitisha sana π
Na kwenye hiyo tag mimi sipo πAsa mbona umetag watu wawili tofauti π