π π jamaa uwa una jitetea sanaaNa ilibidi nicheze hivyo kiasi ilimradi nimalize maana tayari nilianza ingiwa ganzi na hizi simu.
πΉ niliona ma picha picha aseeπππHicho kipind si Razorblade alikuwa ananioneaππ nikamwambia bro ngoja nitakuwashia siku moja ndo nikamuwwshiaππ
Ila me sio fan wa smart assist kabisa
π€£π€£π€£Huwa sijui kutumia direction stick Vizuri na kudreble nikiwasha smart assist ni kutembea tuuππππΉ niliona ma picha picha asee
Ila jitahidi tu kufanyia kazi speed.Ila unaubonda mkuu mechi ya kwanza first half ulinisumbua hadi nilitaka ku forfeit ππ
Haina noma, fair play muhimu.Corrie de killer Good game mkuu thanks kwa kuwa muungwana mtandao wangu uliposumbua.
Game 1 : Draw
Game 2: Lukashenko wins
View attachment 3434427View attachment 3434428
πππUnavyotoa ushauri kama umeshinda vileIla jitahidi tu kufanyia kazi speed.
Nimeipenda hii...Haina noma, fair play muhimu.
Naongea kwa uchungu kaka simu zinaingia katikati ya mechi πSema mwanangu unaongea mnoπ€£π€£π€£π«΅
Mkuu yani we acha tu, mechi imekatika kwa sababu ya simu narudi tena room simu inapigwa kwenye namba nyingine ππππUnavyotoa ushauri kama umeshinda vile
Mamiyakeπ€£π€£π€£π«΅
Sawa sawaIla jitahidi tu kufanyia kazi speed.
Heshima yako π«‘Haina noma, fair play muhimu.
Mimi kama Ahmed Ally nilikwambia πHakuna cha fact wala nini mwanangu anaongea mnoπ€£π€£π€£
Kawaida yangu hiyo hatuchezi mabubu humu, nikiangalia wachezaji wengi siyo waongeaji bora mie niongee tu ππππ π jamaa uwa una jitetea sanaa
πππππ
Invite
Tupande leo imeniuma sana kuambulia alama 1 ππππππ