Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,742
Eeh ulizani utaniππ
NipoWapi mzee wa Totti
Mkuu hukutokea mechi ilikuwa jumatatuEeh ulizani utaniππ
We jamaa umepoteaNipo
Naona kabisa umedhamiria kunifedhehesha leo, ngoja nijiandae kiakili πAu nkupe point mapema ili kuepuka fedhehaππ
Mapema sana, lazima nijiandae πUshachungulia kikosi ππ
Kikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpiraMapema sana, lazima nijiandae π
Dah! Shivo naona unanijaza πKikosi chako kishantisha naona batigoal akiondoka na mpira
We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupitaDah! Shivo naona unanijaza π
Selikavu ona huyu mtu aisee.We mtu uko na ukuta wa berlin sioni kwa kupita
Nimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room πMichezo hiyo unachezewa kaka
Aisee hii sasa hatari πMungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zoteπ€£π€£π€£
Dua la kukuπππMungu saidia nipate point sita leo kama wengine opponent asilete team uwanjani kama siku zoteπ€£π€£π€£
Hii michezo tunaijua, usidanganyike na hiyo back 3 hapo nyuma mkuu πYani naangalia kila mfumo naona siwezi kutoboa
Kikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasaNimeshituka kaka, naona anampango wakuniteketeza room π
Maswala siku zote hakuwepo leo ndo kaja limenisikitisha sana, πAisee hii sasa hatari π
Asinikamie tu maana mie bado noob πKikubwa uludi salama ukifa nitamcheka nani sasa