Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,917
- 12,349
Voda
Pamoja, huyu leo atasimulia.Yas wana stong network mpaka H+ unacheza game ๐๐ฅ
Yote ipo vizuri, ila inategemeana na location yako tu.
Yas H+ unacheza live??Yas wana stong network mpaka H+ unacheza game ๐๐ฅ
Yote ipo vizuri, ila inategemeana na location yako tu.
uje hivi leo na beki wako Andunje Cannavaro , Me napita juu๐น๐น๐นPamoja, huyu leo atasimulia.
Yeah kaka, nishaona hicho kitu mara nyingi tu kwenye simu yangu nikitumia huo mtandao.Yas H+ unacheza live??
Twende tukamalize nini kakaYeah kaka, nishaona hicho kitu mara nyingi tu kwenye simu yangu nikitumia huo mtandao.
Tutacheza night tu, leo nilikuwa na safari fulani hapa ndo nipo kwenye gari narudi nyumbani.Twende tukamalize nini kaka
Niletee takwimu za mchezaji wako aliyepita kwa Cannavaro ๐uje hivi leo na beki wako Andunje Cannavaro , Me napita juu๐น๐น๐นView attachment 3430762
We nunua tu ๐Konami wanataka ninunue coin naona๐๐๐nimechoma choma pale kwa Ronaldo hola๐๐
Hakuna nenoTutacheza night tu, leo nilikuwa na safari fulani hapa ndo nipo kwenye gari narudi nyumbani.
Kwenye saa 2 au 3 nitakucheki kaka.
Nataka nifanye ile negative coins๐๐We nunua tu ๐
๐นtuachane na ayo Bwana halotel , leo ni siku nyingine ๐ฅ๐ฅNiletee takwimu za mchezaji wako aliyepita kwa Cannavaro ๐
CB watatu kwenye back 4 wame kaajeNa week hii Alhamic hakuna Form update ๐๐๐