Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,905
- 34,435
😹😹amna namna ume fika fainal kirahisiDah unanisagia kunguni mwanangu😅
😹😹kaka me nimesema lini ivyo
😹😹amna namna ume fika fainal kirahisiDah unanisagia kunguni mwanangu😅
😹😹kaka me nimesema lini ivyo
😹😹ana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirishaNaona anataka kuwahi kuwa namba 10 huyo......niweke nae mkuu.
Unakataa tena saiv😹😹amna namna ume fika fainal kirahisi
😹😹kaka me nimesema lini ivyo
Hii Man marking hairuhusiwi mkuu.😹😹ana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirisha
😹😹 Kandambili1 umesikia hiiHii Man marking hairuhusiwi mkuu.
Nipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .Ligi msimu ujao timu zitazoshiriki
Unaweza kubadilisha logo kama hutoipenda
View attachment 3429422
Cc
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Gilberto_ Kandambili1 Mill broh Mr Devil NEGAN Razorblade Warld
PSG hii iliyopigwa 3 na Chelsea au kuna nyengine?Nipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .
Chelsea waviziaji kama pogba wakoPSG hii iliyopigwa 3 na Chelsea au kuna nyengine?
Tunamechi leo, ntamuweka Haaland badala yake 😂Chelsea waviziaji kama pogba wako
Hahahahaha mkuu mbona hii ni kutangaziwa msiba mapema.😹😹ana tugombanisha uyo mkuu , ila lazima umuwekee man marking Bat goal bila ivyo tuta safirisha
Huwa situmiagi hizo mkuu.... Sijui hata ipo wapi😹😹 Kandambili1 umesikia hii
We endelea na PSG yako🤣🤣🤣Nipewe logo ya Ajqx maana vijana wata anza kuogopa logo ya PSG .
Nakukumbusha yule ni target manTunamechi leo, ntamuweka Haaland badala yake 😂
Dah assee😃😃View attachment 3429637
Nisipokaza roho hapa kesho mnaweza nikuta Amana kwa kupoteza coins zote 😂😂😂
Kipenzi cha wengi yupo hapo, kuna watu watapambana sana kumpata 😂😂😂
Halafu anakula instruction ya Counter terget.Nakukumbusha yule ni target man
SIkilizia milio kesho 😂Dah assee😃😃
Mmoja wapo ni wewe😀SIkilizia milio kesho 😂
Hata ikiwa mpaka saa 12 jioni, itaisha tu.Kesho kutakuwa na maintainance saa 11 mpk saa moja😃