Mpinzani akiwa anazuia sana ndo huwa nahaha naweza piga shots nyingi bila faida na ikitokea nimepata on target basi unakuta zimekula nguzo au napiga vishuti mtoto na mbaya zaidi pale ambapo nimebaki 1v1 na kipa halafu najikuta nimepiga through 😂.
Konami walichonifanyia sina hamu, nilikuwa nimefikisha points 1435 nikawa napiga hesabu bado mechi 3, daah mechi iliyofata nimefungwa wakakata point 29 iliyofata nikapata sare wakakata point 5.
Hiyo script yao inatia hasira ila haijaisha mpaka iishe 😂.