eFootball Special Thread

Anaweza tumia mwaka mzima kugeuka....๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Ila Razorblade hapo Amefika hasikii aoni๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mpaka sasa sijajua nani atamtoa Drogba kwenye nafasi yake, ngoja nisubiri card zinazokuja ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜… mtu wa hivyo hatofika popote
Ndo napenda sasa, ila kutumia haram na drone football naweza vizuri sana ila mpira mbovu kama huo nacheza dvn au nikiwa nahitaji coins kwenye PvP ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndo napenda sasa, ila kutumia haram na drone football naweza vizuri sana ila mpira mbovu kama huo nacheza dvn au nikiwa nahitaji coins kwenye PvP ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Drone na Haram ni mpira mbovu sio๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ngoja povu lije sasa ila ndo ukwel๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mimi kama mtu wa pwani nikimiliki chombo na minazi mitatu pamoja na kiti cha kulaza unaongezea na wake wanne baaasi tosha kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Asubuhi kwenye bao, jioni kwenye kahawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi kama mtu wa pwani nikimiliki chomo na minazi mitatu pamoja na kiti cha kulaza unaongezea na wake wanne baaasi tosha kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Asubuhi kwenye bao, jioni kwenye kahawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Fala una maneno sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yule jamaa anajua sana


Sema ndo hivyo anatumia Console ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Yule jamaa ndo alinifanya nisipende sana cross maana alisema siyo lazima kutumia cross kwenye LBC halafu ukiangalia anatandaza boli safi na habutui hata akifungwa.
 
Fala una maneno sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mimi nataka kujua game, sitaki kucheza game ๐Ÿ˜‚

Kuna watu unaweza kutana nao dvn yani we butua ila yeye akishika mpira kazi unayo, boli linatembea chini tu halafu speed yake ni balaa ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ