Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Mimi mpaka saa 4 mkuu πAnza wewe π
hahaha mkuu hii idea ni nzuri sanaHii nakumbuka ulisema sema kitambo
Active mpo sita π unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
Ulipotea sana mkuu vip ulochukua hawa Epic waliotoa janahahaha mkuu hii idea ni nzuri sana
Narudi kwenye utawala wangu wa DLS sasa.Ulipotea sana mkuu vip ulochukua hawa Epic waliotoa jana
Gunaman Mwenyewe karibu kaka naona Harakati zetu za Seal Team na mafunzo zimeishaNarudi kwenye utawala wangu wa DLS sasa.
Kenge maji nyie, nyau de adrizGunaman Mwenyewe karibu kaka naona Harakati zetu za Seal Team na mafunzo zimeisha
Vita vinaendelea
Taarifa iwafikie Intelligent businessman na Busu la Kenge
Mkuu nilikuwa Sina access ya internet wala wifi kwa watu ...Ulipotea sana mkuu vip ulochukua hawa Epic waliotoa jana
Kabla ya kuchagua ungekuja huku maana pale mmoja alikuwa wa kupewa mwingine wa kuchaguaMkuu nilikuwa Sina access ya internet wala wifi kwa watu ...
Nimechelewa nimepewa bale na buyten...labda na Saka...nipo sawa
Nakosa tu midfield na labda beki wa kati epic ya puyol na cannavaro ingekuwa balaa
Ndio mkuu hahaha nilichagua wakupewa mkuu.... Kule kwenye kuchagua nilienda ma bale kuongeza option pale mbele.... ilikuwa nafasi moja nikaona niende nae huyo...so far pale mbele sina shida.Kabla ya kuchagua ungekuja huku maana pale mmoja alikuwa wa kupewa mwingine wa kuchagua
What's done is doneNdio mkuu hahaha nilichagua wakupewa mkuu.... Kule kwenye kuchagua nilienda ma bale kuongeza option pale mbele.... ilikuwa nafasi moja nikaona niende nae huyo...so far pale mbele sina shida.
Ndio bro....taratibu maana sjacheza muda hebu nijiweke sawa kidogo...Asante sana mkuu.What's done is done
Hakuna shida kaka
Kuhusu league naomba uanze jumatatu ya week ijayo kama itakuwa sawa kwako ili tupate mtu uingie nae kwa Watu saba itakuwa ngumu kdg ila watu nane uwakika labda apatikane leo mwingine utaanza nae
Tupo pamoja jumapili fixtures zitatoka uwepoπNdio bro....taratibu maana sjacheza muda hebu nijiweke sawa kidogo...Asante sana mkuu.
They have underestimated Me now is the time for them to taste the bitter consequencesGunaman Mwenyewe karibu kaka naona Harakati zetu za Seal Team na mafunzo zimeisha
Vita vinaendelea
Taarifa iwafikie Intelligent businessman na Busu la Kenge
Nitakuwa hewani mkuuTupo pamoja jumapili fixtures zitatoka uwepoπ