Semaa Totti hayupo tuuπππHii nzuri nimeipenda kila weekend tuna rotate
Unatamba mno mwanangu aina noma tungojeeπ€£π€£Tulia uone nitakavyomkimbiza huko room π
Mnapeana moyo sioππHakika, bila kuchoka kwa heshima
Na bado me nitakukumbushaπππView attachment 3422589
View attachment 3422600
UMEWEKA SIKU MBALI ILI NISAHAU SIO π
TUNZA HIYO KAULI YAKO.. NISHAKUWEKEA REMINDER ππ
Ulikuwa na ile Tournament Organizer mkuu we panga timetable tuma kakaππHivi kwanini ambao tuko active tusiwe tunapiga mechi kwa mfumo wa mpya wa UEFA(Premier+Knock out)?
Amrabat usimwekeπ€£π€£π€£Mpaka umfikie Cannavaro uhakiishe umempita Rodri na Camavinga au nitakuwekea Rodri na Amrabat π
Muhimu kuandaa mazingira nje ya uwanja πUnatamba mno mwanangu haina noma tungojeeπ€£π€£
Huwezi fungwa kote kote sio πMuhimu kuandaa mazingura nje ya uwanja π
Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu πAmrabat usimwekeπ€£π€£π€£
Hata sijawahi itumia zaidi ya kuidownload tu, tumpe hili jukumu Gilberto_ nakumbuka yeye alisema alishawahi kuandaa tournament.Ulikuwa na ile Tournament Organizer mkuu we panga timetable tuma kakaππ
Hama Amrabat atahusika halafu wote na Rodri nawapa Deep line πAmrabat usimwekeπ€£π€£π€£
Huo utakuwa uzembe πHuwezi fungwa kote kote sio π
Amrabat kwenye timu yake namchukia kwelπππabakaba yule umbwaaaπ€£π€£π€£Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu π
Mbona inafahamika tuuHata sijawahi itumia zaidi ya kuidownload tu, tumpe hili jukumu Gilberto_ nakumbuka yeye alisema alishawahi kuandaa tournament.
Muhimu kwanza tujue idadi ya watakaokuwa active.
Niweke DMF watatu ili creativity ipungue?Muache amuweke, hata DMF wote watatu shwari tu π
Ngoja aje kama itakuwa ngumu kwake kuandaa, nitaandaa.Mbona inafahamika tuu
Wewe, yeye Negan, Edo kissy Mill Bro na Mr Devil
Drogba wangu unamjua π
Itakuwa unyamaNgoja aje kama itakuwa ngumu kwake kuandaa, nitaandaa.
Saiv upande wake alikuwepo Cannavarro ππDrogba wangu unamjua π