Futa unaharibu πππ
ππ yani we kwa mpira wako unajua sijui nikushauri nini hapo kaka πUrudi uniambia nazingua wapi na niongeze niniπ
Na nini nikufundishe tenaππ
Wahii training ground kaka πA wapi hadi aibu kuweka matokeo pasi hazifiki wewe ukigusa tu imooπ
Ebu niendelee kutrain
Ila mi naona umejaa tu kwenye mfumo we unagusa π afu ulikuja na smart assist, pale ina mpira wake wa tofauti mi siwezi kutambua makosa yako harakaNdio useme nika train kwa kurelaxπ
Aisee πPicha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..View attachment 3422387kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams πvichwa, Humu tu View attachment 3422389hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe π ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)View attachment 3422390baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira ππ€ na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..View attachment 3422393kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu ππ€View attachment 3422394
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA ππ
CC Edo kissy π€.. Promoter wa pambano Selikavu π«°
NEGAN Razorblade Mill broh
Safi mkuu, tutalipa kisasi πNitakurudiaπ, promoter Selikavu toa ratibaa.
Saivi mje mkiwa mmeunganaSafi mkuu, tutalipa kisasi π
Hizo kona kaka π€£π€£π€£me huwa nakaba lakini zinanishindaEbu nika train mkuuπ¬
Razorblade utaleta timu au unaenda training π€£π€£π€£Picha lilianzia hapa mechi ya kwanza, comeback ya dakika za jiooni..View attachment 3422387kama mnavyoona MOTM alikuwa super destroyer Adams πvichwa, Humu tu View attachment 3422389hii mechi ya 2 ndo ilikuwa ya kutoana damu, nipe nikupe π ila mshindi yule yule.. (nakunywa maji)View attachment 3422390baada ya kujihakikishia ushindi wa best of 3 mapema kwenye mechi za mwanzo, nikaona nisiwaangushe mashabiki zangu mkaona kuwa nilikuwa napata ushindi wa bahati bahati, nikaamua kumtulizia mali kijana alikuwa amewasha attacking bar lakini aliizima akawasha defensive bar kupunguza mashambulizi na kasi ya mpira ππ€ na hapo kawasha defensive bar hana goli anajitafuta..View attachment 3422393kama kawaida kwenye vyote siwezi kukosa goli la kona kwa mtu ambae ni mgeni kucheza na mimi, humu tu ππ€View attachment 3422394
NADHANI MASHABIKI ZANGU MMEFURAHI SASA ππ
CC Edo kissy π€.. Promoter wa pambano Selikavu π«°
NEGAN Razorblade Mill broh
Amtafute koller acheze bekiπ€£π€£π€£ππ yani we kwa mpira wako unajua sijui nikushauri nini hapo kaka π
π€£π€£π€£Na amekuta saiv ni LBC angekuta possession game au QC ni pasi 200+Wahii training ground kaka π
Namsubiria alhamisi huyoπRazorblade utaleta timu au unaenda training π€£π€£π€£
Ashakimbia huyuπ€£π€£π€£Aisee π
Kazi njema mkuu.
Nipo kudhihirisha makosa ya Cannavaro πAmtafute koller acheze bekiπ€£π€£π€£View attachment 3422521