Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 906
- 2,517
Kwanza ni uongo tu huo, Mi nilishajaribu ikagoma, nilikuwa nimechapwa 2.0..Wakuu nitoe ushauri tu. Juzi niliona mnafundishana trick ya ku shinda match kwa kuzima data. Hiyo ni cheating na ikatokea wapinzani wako waki report halafu KONAMI wakafatilia ni straight ban. Tucheze fair tu wakuu.