eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

1000002766.png

Wakubwa ushauri nimchukue nani kwenye legends?
 
Promoter Selikavu mbona sijaona matokeo ya mechi ya malengendi NEGAN v..

Au imekuwa sare kama Kibwana v Nkane 😄
😃😃😃 Mi mi hajatokea😃😃😃


Jumapili ijayo kuna watu huwa wanakimbiana humu 😃😃😃


Edo kissy na Mr Devil 😃😃🔥


Jumapili tutaomba kiwake😃😃😃


Tunaomba kati kati ya week msicheze pamoja😃😃😃

Jumapili match 3 za nguvu 😃😃😃
 
😃😃😃 Mi mi hajatokea😃😃😃


Jumapili ijayo kuna watu huwa wanakimbiana humu 😃😃😃


Edo kissy na Mr Devil 😃😃🔥


Jumapili tutaomba kiwake😃😃😃


Tunaomba kati kati ya week msicheze pamoja😃😃😃

Jumapili match 3 za nguvu 😃😃😃
Inaonesha huyo Mi mi hakulipwa stahiki zake za mechi 😄
 
Mkuu nilikuwa nikichungulia kikosi chako tu hata nikikuona online situmi request 😂

Ila sasahivi huwa nikikuona online nakutamani, tutakipiga baada ya maitanance ya Alhamisi 😂
Hahaha kwamba kikosi kilikuwa kinatisha au? 😂

Haina noma, alhamisi mbali we ukiniona online hata leo tuma tu invite 😄
 
Back
Top Bottom