Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Oliver khan nataka nimtest mashut ya mbali anadaka ama😃😃Nilijua hili ndo swali linalofata 😂
Sipo mkuu, nakuchangamsha familiya 😂
Oliver khan nataka nimtest mashut ya mbali anadaka ama😃😃Nilijua hili ndo swali linalofata 😂
Sipo mkuu, nakuchangamsha familiya 😂
Jamaa wanamsingizia mkuu we mwenyewe shahidi siku ile ulipiga mashuti mengi nje ya box na yote alisave 😂Oliver khan nataka nimtest mashut ya mbali anadaka ama😃😃
Me si huwa najipigia tuu😃😃😃Jamaa wanamsingizia mkuu we mwenyewe shahidi siku ile ulipiga mashuti mengi nje ya box na yote alisave 😂
Na ndo kitu ambacho huwa sipendi nikienda room na wewe, kuna muda unakuwa kama noob 😂Me si huwa najipigia tuu😃😃😃
Ukutane na wale shuti mkakati🤣🤣
😹dah sijawahi tumia kipa wa defensive niende pre season tenaNi defensive kaka😃😃si umeona Razorblade kamshadadia kwel
😹Jifunze kumtoa kipa mkuu 😂
Puyol booster yake ni Duelling ila ili afike 102 nahisi anahitaji kocha wa booster 2, Kahn booster yake ni Saving.Puyol kagoma kufika 102 booster yake ni ipi ,na babu kahn booster ipi
Ukimuweza nimekaa pale 😂😹dah sijawahi tumia kipa wa defensive niende pre season tena
Kabisa mkuu😃😃😹dah sijawahi tumia kipa wa defensive niende pre season tena
Wanamwita Razorblade Mabooster🤣🤣🤣Puyol booster yake ni Duelling ila ili afike 102 nahisi anahitaji kocha wa booster 2, Kahn booster yake ni Saving.
Binafsi kipa mkuu😃Kwa hichi kikosi nichukue kipa au mshambuliaji View attachment 3416909
Nilikua nataka orchestrator wa kudumu .Kwanini umemuacha Kahn mkuu?
Kuhusu booster hapa penyewe maana nina channel maalum kabisa 😂Wanamwita Razorblade Mabooster🤣🤣🤣
Ngoja nipite na khanBinafsi kipa mkuu😃
Kipa wako ni 96 kumbe
Badala umwambie aende na striker unamwambia amchukue kipa wakati ukuta wake kwa kiasi upo vizuri.Binafsi kipa mkuu😃
Kipa wako ni 96 kumbe
Chukua striker wewe achana na kipa, ukuta wako uko vizuri halafu kipa unaweza pata baadae.Ngoja nipite na khan
Anacheza na madestoyer wote watu watakuwa wanawavutq mno kwahiyo 1v1 zitakuwa nyingi unless yupo vzr kwenye defending hapo anaweza akachukua strikerBadaka umwambie aende na striker unamwambia amchukue kipa wakati ukuta wake kwa kiasi upo vizuri.
Sasa hilo lilikuwa ni jambo la kumuelekeza, we huoni hata striker anayemtumia ni deep lying forwad?Anacheza na madestoyer wote watu watakuwa wanawavutq mno kwahiyo 1v1 zitakuwa nyingi unless yupo vzr kwenye defending hapo anaweza akachukua striker