Nimepanga kwenda kuspin coins 100 tu hapo ila bado akili haijafanya maamuzi 😂
Ana mbappe😃😃Sasa hilo lilikuwa ni jambo la kumuelekeza, we huoni hata striker anayemtumia ni deep lying forwad?
Yaani wewe ulitakiwa umuambie aonyeshe kikosi chake mpaka reserve ndo umshauri 😂Ana mbappe😃😃
Sawaa mkuuYaani wewe ulitakiwa umuambie aonyeshe kikosi chake mpaka reserve ndo umshauri 😂
Ila siyo mbaya atapata free card zingine mbele ya safari 😂
Bado kdg ufike 3200 au ushafika hujawapanga tuu😃😃
Kazi njema.Sawaa mkuu
Bado 2 ifike 3200 lakini bado vipigo vipo pale pale😅Bado kdg ufike 3200 au ushafika hujawapanga tuu😃😃
Ni account yako, imekuwaje???
Ulifanya nini?
Kweli kabisaa mkuu👊Wakuu nitoe ushauri tu. Juzi niliona mnafundishana trick ya ku shinda match kwa kuzima data. Hiyo ni cheating na ikatokea wapinzani wako waki report halafu KONAMI wakafatilia ni straight ban. Tucheze fair tu wakuu.
Ni account yako, imekuwaje???
Hahah sio yangu wakuu nime kutana nayo whatsup konami wana piga panga nikaona niilete ukuUlifanya nini?
Bora hivyo sio yakoHahah sio yangu wakuu nime kutana nayo whatsup konami wana piga panga nikaona niilete uku
Pamoja mkuu.Wakuu nitoe ushauri tu. Juzi niliona mnafundishana trick ya ku shinda match kwa kuzima data. Hiyo ni cheating na ikatokea wapinzani wako waki report halafu KONAMI wakafatilia ni straight ban. Tucheze fair tu wakuu.
Bora hivyo maana kuanza kutengeneza upya kikosi ni kazi kubwa aisee.Hahah sio yangu wakuu nime kutana nayo whatsup konami wana piga panga nikaona niilete uku
Au na wewe ndo VPN za Japan zimekuponza 😄