Ehe vpn server ya japanUnatumia Japan mkuu๐๐๐
Mchukue alafu leo night tucheze, nitamuanzisha Danielson nikuoneshe mapungufu yake ๐๐
Amini kaka ๐Utani wa ngumi huu๐
Skanka ๐Cannavarro wako mtrain CF kaka anafunga mno๐คฃ๐คฃ๐คฃ
VPN gani kakaEhe vpn server ya japan
Na anakabia Juu sana๐คฃ๐คฃ๐คฃSkanka ๐
Hapo ni speed tu ndo ya kawaida zaidi ya hapo huwezi pita huyo mtu ๐Mchukue alafu leo night tucheze, nitamuanzisha Danielson nikuoneshe mapungufu yake ๐๐
๐น๐นtatizo uyu nae ni destroyer , nikichukua apo Cb najaza ma destroyer , NESTA na Puyol wana tosha
Huyo namtia instruction ya Defensive anapoa saaaafi ๐Na anakabia Juu sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Speed anayo ila height sasa๐Hapo ni speed tu ndo ya kawaida zaidi ya hapo huwezi pita huyo mtu ๐
Anakaba mpaka kivuli huyo ๐
Wewe hakufai nenda kamchukue Denilson hapo utakuja kunishukuru ๐๐น๐นtatizo uyu nae ni destroyer , nikichukua apo Cb najaza ma destroyer , NESTA na Puyol wana tosha
Angalia Jump anayo ngapi, hicho kiumbe kifupi lakini kinajua kutumia ufupi wake vizuri ๐Speed anayo ila height sasa๐
Kazi njema.Ngoja niingie na mimi nikamchukue Khan ๐๐ค
QuarkvpnVPN gani kaka
๐น๐น๐น binadamu mme kosa utuWewe hakufai nenda kamchukue Denilson hapo utakuja kunishukuru ๐
Watu hawajui kumtumia tu huyo ila mwamba sana๐, Drogba niliyenae mimi kuna watu wanamsema lakini shughuli anayoifanya kwangu ni hatari๐น๐น๐น binadamu mme kosa utu
DefendingBado booster tuuView attachment 3416589
Oya niangalizie Rice anafika ngapi?Bado booster tuuView attachment 3416589