Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Napenda kubalance timu kwenye uzuiaji na ushambuliaji ndiyomaana hapo DMF nimemuweka Amrabat huku nikimsubiria Kante wa bure 😂.CMF inakaa poa Box box ni wazuri sema sijui kuwatumia naoenda pivot iliyotulia ya Anchorman na Orchestrator. B2B wanazurura sana uwanjani.
Carnage21Shusha username tuku add
Carnage21
Mkuu sorry ni carnage2001Shusha username tuku add
Kikosi kizuri nimetuma requestMkuu sorry ni carnage2001
Leo nikasema nikaze nipande division... Kwakuwa sina Anchorman mwingine zaid ya Rodri... Nikasema acha nimuweke tuu...Muweke uone utakavyolia, orchestrator ni wazuri kwenye double pivot akae na anchorman na siyo acheze peke yake.
Nimepanda division two mkuu😀Kikosi kizuri nimetuma request
Ngoja na mimi nikamtumieKikosi kizuri nimetuma request
Daah! Ngoja nikajaribu bahati yangu.Leo nikasema nikaze nipande division... Kwakuwa sina Anchorman mwingine zaid ya Rodri... Nikasema acha nimuweke tuu...
Nikamtrain Guardiola kucheza CMF then nikamuweka Rodri baada ya kukaza vidole siku nzima hatimaye nimpanda division two..
Nb.. mchana wale mapro wanakuwa hawapo😂😂😂ila usiku na Asubuhi muda mwingine nakutana na watu wa 3210 kuendelea huko mtu ana maradona, bale wa 107 anakimbia kama ana mota yan ni kazi kwel kwel
Team niliona nichukue Unique kdg niliona watu humu ndani wana adi Santos😂 na maceltic me nikaona Benifica atanifaa uzi wake naukubali mno
View attachment 3304042
Push division sasa 😀Nimepanda division two mkuu😀
Nimetuma request mkuu, kikosi kizuri na rank uliyopo huko dvn 2 aisee ni unyama sana.Mkuu sorry ni carnage2001
Tupashe mzeeNimetuma request mkuu, kikosi kizuri na rank uliyopo huko dvn 2 aisee ni unyama sana.
Kaza kaka😀Daah! Ngoja nikajaribu bahati yangu.
Ngoja nikomae mkuu ..😀Push division sasa 😀
Uliona Benefica ya Myunani kaka kwenye requestTupashe mzee
Script ipo ni kweli ndio maana wanashauri usicheze mechi zaidi ya 4 mfululizo maana ya 5 KONAMI watafanya kila namna upotezeHivi wazehe hii issue ya script ni real. Haiwezekani leo asubuhi nimepigwa game mbili mfululizo na watu wanacheza pira halieleweki View attachment 3304278
Sasa mimi ambaye huwa nacheza 10 mfululizo😂😂😂Script ipo ni kweli ndio maana wanashauri usicheze mechi zaidi ya 4 mfululizo maana ya 5 KONAMI watafanya kila namna upoteze
Tutapasha tu mkuu.Tupashe mzee