Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,943
- 12,380
Weka username tufundishane mkuu 😂Ngoja nijifue kwanza nikiiva nitaleta🤣🤣
Kwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine 😂Sure kipa wa 105 ni adimu mimi mwenyewe kesho akiwepo naruka nae
Hatutaki🤣🤣Kwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine 😂
Bora uchukue mchezaji utakaemtumia bhana hayo matumizi mabaya ya Selection Contract 😂Ile 105 inapendeza kuiangalia. Ntamchukua akae hata benchi. Najua hawezi kumuweka benchi Diogo Costa. Moto wa Costa unaujua kuna mechi ile nilitoka on target 0 Costa alipangua mashuti yako mengi hadi nikawa nacheka😃
Yupo Dominik na Courtois 😂Chukua Khan wa pili huyo waliyekupa anaeza akaumwa siku moja asicheze 🤣🤣🤣🤣
Uwaki huo 😂Hatutaki🤣🤣
Chukua khan bhana 😃😃Yupo Dominik na Courtois 😂
Tushindane kumfunga🤣🤣Uwaki huo 😂
Lile jini likija kesho siliachi😃Kwani lazima tufanane, chukueni wachezaji wengine 😂
Ukiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na XabiBora uchukue mchezaji utakaemtumia bhana hayo matumizi mabaya ya Selection Contract 😂
Van Basten mkuu😃😃mpk sasa ana goli tano za vichwaUkiacha smeichel hamna mwingine ana fit playstyle yangu labda Rooney hole player na Xabi
Utamuweka benchi tu 😃Fox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacherVan Basten mkuu😃😃mpk sasa ana goli tano za vichwa
🤣🤣Kuleta Username ni jambo jingine na kucheza ni jambo jingine 😃😃😃
Mtego huu sitauingia kamwe iwe kwa kukusdia au lah - Prof Palamagamba KabudiWeka username tufundishane mkuu 😂
Me nazikubali sana Fox in the box kuliko Goal pocher na nilikua nahitaji mmojaUtamuweka benchi tu 😃Fox in the kuwatumia ni kazi hawana runs nyingi kama goal poacher
Ngoja tuone kama watawarudisha keshoMe nazikubali sana Fox in the box kuliko Goal pocher na nilikua nahitaji mmoja
Ikija hivi unaondoka na nani??Ngoja tuone kama watawarudisha kesho
Hapo Fernando Torres au Julio CesarIkija hivi unaondoka na nani??View attachment 3416330
Huyo torres atakuwa mzuri kuliko huyu wa 500 tunayemnunuaHapo Fernando Torres au Julio Cesar
Binafsi sina left beki mkuu nahitaji nipate nadhan Robert carlos atanifaa??Hapo Fernando Torres au Julio Cesar