Kushinda 4-3,3-2,5-3 kawaida sana kwa XabiMwendo wa kupeleka moto dakika 90๐
Sasa unataka kwenye back 5 atumie Build 2, atavuja vibaya mno ๐Nilijua tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃhuwezi acha kumssupport ๐คฃ๐คฃ
Nimemtimua huyo kitambo, nilikoma ๐Xabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeit
Amna tuwaache wajipange Jumapili si kesho kutwa tu hapo๐๐Kwote hukoo
Sawaa mkuu itapendeza basi tutakuwepo hapa๐๐๐Jumapili mara nyingi nakuwa available kwa asilimia kubwa hasa mida kama hii
Usiku wa deni haukawii kukucha kaka๐๐Leo jumatatu mkuu
๐๐๐Hapa kuna siku atakuja mtu wa 110๐คฃ๐คฃUmenikumbusha kitamboView attachment 3413432
Sasa hivi wachezaji wanajaa mpaka sijui 107 huko zamani kufika 90 tu ilikuwa mzozo kweli sasa hivi hata wachezaji wa hovyo wana 100+ hatari
Amna hawezi๐๐๐Sasa unataka kwenye back 5 atumie Build 2, atavuja vibaya mno ๐
Yupo online anacheza League nenda kampe invite akitoka aikute
Twende mkuu
Twende mkuu
Mpoteze tu ๐Amna hawezi๐๐๐
TuludBando liliisha