Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS๐Thunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sana
Alhamic ni mbali sanaBila kuchelewa ๐, ila hata asiporudi siwezi mtegemea Akanji peke yake, nitapita hata na Puyol.
Nilikuwa nacheza Winning Eleven nikaja kucheza Pro Evolution Soccer ila zote zilikuwa Mod Apk ๐Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS๐
Tuvumilie.Alhamic ni mbali sana
Fts lilikua moto ila PES 18 na 19 weka mbali na watoto๐Enzi hizo ulikuwa huniambii kitu kuhusu FTS๐
Hapo unyama mkuu.Back 5 kuweka destroyer wawili CB na buld up 1 kati kati beki si itakua unyama special kwa DVNView attachment 3413410
Ilikuwa balaa kucheza mpaka ijae kwanza usubiri mpaka muda fulani ndio ucheze mechi kadhaa tuThunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sana
Nimeanza 2018 nwezi wa 6 logo ya countinho enzi hizoMkuu wewe umelikuta PES au Efootball
Team Puyol ๐Back 5 kuweka destroyer wawili CB na buld up 1 kati kati beki si itakua unyama special kwa DVNView attachment 3413410
Nilijua tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃhuwezi acha kumssupport ๐คฃ๐คฃHapo unyama mkuu.
Nilikuwa nacheza Pes lenyewe la Console (Mashine)Fts lilikua moto ila PES 18 na 19 weka mbali na watoto๐
Mimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana
Eeh hivyo hivyo mkuu๐๐๐Mimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana