Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Bale akija kama Adv striker itakuwa unyama sanaTaratibu namaliza tofauti zangu na Bale, nafasi yake kwenye kikosi inakuwa ndogo 😂
Bale akija kama Adv striker itakuwa unyama sanaTaratibu namaliza tofauti zangu na Bale, nafasi yake kwenye kikosi inakuwa ndogo 😂
Enhee hapo sawa pia alichomzidi Drogba ni Control na baadhi ya vitu kadhaa ila mwepesi akipigwa pushi anatupwa huko 😂Me ananifaaa 🤣🤣🤣si unasemaga me mtu wa mambio😃😃😃
Atajua mwenyewe bhana mie nishaanza kumtoa akilini, kwanza rate yake iwe kubwa sana inategemea kocha wa booster 2 na siyo wote 😂Bale akija kama Adv striker itakuwa unyama sana
Utamchukua Alhamis mie nishaanza kumtoa akilini, naenda na Cannavaro kama atarudi 😂Nilimtaka blitz daah😂🙌
Mkuu wametoa angalizo kuhusu card ya Bale kuwa haina maajabu kwahiyo kuwa makini.Kwishaa mbele shida na golini ndo hivo tena ebu nipate na blitz curler mmoja mnikome
Huwa nacheza na Owen ana Physical contact 68 sijui😃😃😃na ndo alikuwa tegemeo kwanguEnhee hapo sawa pia alichomzidi Drogba ni Control na baadhi ya vitu kadhaa ila mwepesi akipigwa pushi anatupwa huko 😂
Na ushafunga ndoa na Gasperini hutaki kumuacha🤣🤣🤣Atajua mwenyewe bhana mie nishaanza kumtoa akilini, kwanza rate yake iwe kubwa sana inategemea kocha wa booster 2 na siyo wote 😂
Aweeee 😃😃😃tutajua namna ya kumfunga tuuKwishaa mbele shida na golini ndo hivo tena ebu nipate na blitz curler mmoja mnikome
Thunder black balls dah umenikumbusha mbali. Enzi hizo Aubameyang anasumbua sanaEnzi hizo za Black ball ilikuwa mtiti
Halafu mwisho wamemalizia msijesema hatukuwaambia 😂Mkuu😂😂 Dadeq wanazingua ebu tuone
Bila kuchelewa 😂, ila hata asiporudi siwezi mtegemea Akanji peke yake, nitapita hata na Puyol.Na ushafunga ndoa na Gasperini hutaki kumuacha🤣🤣🤣