eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nunez amepika kazi sana😃 sijapata replacement yake. Van Basten ukitmtumia utanipa tips. Sijawahi cheza na striker fox in the box
Me nitamtumia kwa counter zangu😃😃cross siwezi piga ila so far mipira ya juu yote anawin yeye

Na booster yake moja ni Aerial...

Pia ana skills ya heading na Aerial Superiority plus one touch pass na Through passing

Mwisho kabisa ana phenomenal finishing 😃😃


Nadhan ana sifa zako zote
 
Nilichotaka kumaanisha ni kwamba hiyo ni back 3 inapendeza build up akiwa kati na destroyers wakae pembeni yake, hii inampa wepesi zaidi kuchukua mipira kwa kipa na kuanzisha mashambulizi.
Aaah inategemeana na mpira wake😃
 
Mimi sijaongea ili tuende room, alinishawishi baada ya kuona ni fox in the box 😂

Nimeenda eFHUB kulinganisha nimeona bado Drogba yuko vizuri Offensive na Physical.
Drogba ni physical tuu😃😃😃alafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...

Nadhan hata Batistuta angenishinda kumtumia
 
Drogba ni physical tuu😃😃😃alafu kwa mchezo wangu hanifai mzito mno...

Nadhan hata Batistuta angenishinda kumtumia
Siyo physical tu mkuu we nenda eFHUB kafanye comparison utaona hata Offensively Basten kazidiwa.
 
Back
Top Bottom