eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

IMG-20250721-WA0054.jpg
 
Bale hawezi kukosa. Ila kwa kina Oliver Kahn KONAMI navyowajua sidhani kama watarudi😃
Asirudi tu ndo vizuri, mie kikosi cha kutengeneza kwa wachezaji wa bure siwezi mpuuzia Bale 😂

Blitz curler kuwapata ni ghali kweli halafu nimuache!? Big No 😂
 
Una utani na Messi😀 Ronaldo mwenyewe ilikuwa kipengele mpaka nimempumzisha niliikosa ile pack ya Al Nasr alikuwa anafika 106 kama sikosee huyu Ronaldo nilienae kuna vitu ana miss
Ila kila mtu na mchezo wake😃😃me kwangu hawezi mikiki yangu😃😃
 
Back
Top Bottom