eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Bastoni amuweke benchi Pique hell no. Jaribu Combo ya Van dijk na Pique uone maajabu. Van dijk ana deal na mipira ya juu Pique anafagia.
Nashangaa sana yani Puyol akae benchi halafu Bastoni aanze, ila kila mtu na taste yake.
 
Welcome
1000089463.jpg
 
Konami wamejua kutupatia muda huu...

Negan anapenda sana Offensive GK wamempa Cassilas


Me nataka wazee wa counter wamenipa Van Basten


Razorblade unapenda sana Defensive Gk wamekupa Khan 🤣🤣🤣

Sema hilo dude linadaka bhana jamaa alikuwa naye wa 99 ila nilikuwa sifungi kizembe🤣
 
Back
Top Bottom