Hii ni bampa tu bampa 😂Dah🤣🤣🤣🤣
Hii vita ishakuwa ngumu🤣🤣🤣
Dah! Uneenda kuchungulia tayari 😂Dah huyu Khan anafika 105 silet timu kaka🤣🤣🤣View attachment 3413118
Nilitaka kujua anafika mia na ngapi maana yule wa 99 alikuwa ananisumbua kumfunga 🤣🤣Dah! Uneenda kuchungulia tayari 😂
Sileti timu mzeeHii ni bampa tu bampa 😂
Nilikuwa namtamani sana Vitor Baiya ila Konami wamejua kukidhi haja yangu.Konami wamejua kutupatia muda huu...
Negan anapenda sana Offensive GK wamempa Cassilas
Me nataka wazee wa counter wamenipa Van Basten
Razorblade unapenda sana Defensive Gk wamekupa Khan 🤣🤣🤣
Sema hilo dude linadaka bhana jamaa alikuwa naye wa 99 ila nilikuwa sifungi kizembe🤣
Hii naweza kukupa mpira ndani ya box na usishinde 😂Nilitaka kujua anafika mia na ngapi maana yule wa 99 alikuwa ananisumbua kumfunga 🤣🤣
Ndiyo mkuu.Hivi si ndio wachezaji hawa hawa tutachagua Alhamisi
Hata mimi ila sio mbayaNilikuwa namtamani sana Vitor Baiya ila Konami wamejua kukidhi haja yangu.
Makipa watatu wote ni DG
Oliver
Dominik
Courtois
Eeh alhamic hapa nishaanza kuwaza kutafuta mbadala😃😃wa baleHivi si ndio wachezaji hawa hawa tutachagua Alhamisi
Mbona striker wako ni tishio pia.Sileti timu mzee
Bale simuachi, kikosi chenyewe ni free epics halafu niache free blitz, big NO 😂Eeh alhamic hapa nishaanza kuwaza kutafuta mbadala😃😃wa bale
Nimeona dixon atakuwepo pale kama akiwepo nitamchukua maana sina left back
Jifunze kutoa kipa kaka😃😃😃 utanishukuru baadaeMbona striker wako ni tishio pia.
Me sio mpenzi wa Blitz 😃😃😃maana siiwezi me ni direct football ila tutaonaBale simuachi, kikosi chenyewe ni free epics halafu niache free blitz, big NO 😂
Sasahivi kipa namtoa mbona na amekuwa akisaidia sana beki zikikatika.Jifunze kutoa kipa kaka😃😃😃 utanishukuru baadae
Hii inaenda kwa wote ambao tunatumia Defensive Gk😃😃😃
Msije sema sikusema😃😃😃
Mie simuachi.Me sio mpenzi wa Blitz 😃😃😃maana siiwezi me ni direct football ila tutaona
Hapa game itakuwa ngumu sasa😃😃😃Sasahivi kipa namtoa mbona na amekuwa akisaidia sana beki zikikatika.
Labda ulogweMie simuachi.
Nahisi hao wa zamani hawatokuwepo watabaki wale chini ya 102Hivi si ndio wachezaji hawa hawa tutachagua Alhamisi