Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,971
- 12,440
Simu sipo nayo šIngia kwenye game kaka
Simu sipo nayo šIngia kwenye game kaka
Leta account yakoš¤£š¤£š¤£(Am kidding bruh)š¤£š¤£š¤£Simu sipo nayo š
Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi šIngia kwenye game kaka
Ile bado wameleta leo noma sana me nimepata Van Basten wa 105
Daaah huyo hata mimi namtaka šSelikavu kumbe Van Basten ni fox in the box š
Nikupe kweli?Leta account yakoš¤£š¤£š¤£(Am kidding bruh)š¤£š¤£š¤£
Ngojea hiyo ipo tuuššile account yangu ya Japan wamenipa PuyolššDaah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi š
Nah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe šššNikupe kweli?
Mie sina baya š
Hongera kakaNime ambulia uyu ila atakaa benchi hawezi anza mbele ya van dijk na Baston View attachment 3413081
Ya stream nimekosaHongera kaka
Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake šNgojea hiyo ipo tuuššile account yangu ya Japan wamenipa Puyolšš
Hiyo kapata Negan tuu me pia nimeikosaYa stream nimekosa
Acha woga šNah bro nisije nikajinx ngojea uspine kwa mikono yako mwenyewe ššš
Wai kutoka tuu kaka (Second Option)Hapa kuna mawili, nikimbie simu ilipo muda huu halafu nirudi au niwahi kutoka hapa mapema kabla ya muda wake š
Naanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tenaš¤£š¤£š¤£š¤£Acha woga š
Sema ni jau hawa, nimechelewa kutoka home kwa sababu yao halafu wanakuja kufungua spin nikiwa sipo home šWai kutoka tuu kaka (Second Option)
Hadi usiku utakuta chance deal ime expire š .Daah! Mbona unanipa moto, kusubiri mpaka usiku ndo nikachukue simu naona ganzi š
Na hapa nilipo hakuna hata mtu mwenye eFootball, wanacheza makatuni ya DLS tu šNaanzaje kukuambia wamekupa Batistuta tenaš¤£š¤£š¤£š¤£
Just kidding hayupo pale š¤£š¤£š¤£