NdiyoNishaijua, hii si ndo ile aliyetuelekeza NEGAN kipindi kile?
Huwa sina muda nayo hiyo.Ndiyo
Kimmich yuko vzuri,, ,ila kwanguRazorblade kijana mtafuta madestoyer๐๐๐nikutajie mwingine alipo pale kwa akina Kimmich wa Nominating Contract... joao Palinha ni namba 6 alafu Destroyer ๐๐sema anafika 98 ila ni mrefu kwel kwel
Pia ile card ya kimmich pale ni nzuri kaka usiiache๐๐ijaribu siku moja na Anchorman wako Rodri utakuja kuniambia๐๐
๐๐๐Baadae twende nitamuweka kwa ajili yako uone impact yake๐๐๐ana passing nzuri sana kwa ajili ya LBC kama Guardiola yan๐๐Kimmich yuko vzuri,, ,ila kwangu View attachment 3410057 apo DMF nme jaribu tchouamen au Rice box to box na rodri Anchorman nimeona ime leta impact
Hongera kaka๐๐
Daah sikutegemea aiseeBlitz curler๐ hongeraa
Usiache kujaribu kaka ipo siku inatikiHongera kaka๐๐
Ila wewe hunaga Gundu bhana๐๐ni mimi na Razorblade tuu๐คฃ๐คฃ
Me nimetulia kwanzaUsiache kujaribu kaka ipo siku inatiki
Spine moja tuu hapo mzee katumia si unaona 149/150๐คฃ๐คฃ๐คฃcoin ngapi tajiri๐
Aisee! Hongera sana mkuu.
Twende Room nikapambanenE NA adriano kwanza๐๐๐๏ผ๐๐๐
Tusiwe tunafuta zile text za ndagu ๐Hongera kaka๐๐
Ila wewe hunaga Gundu bhana๐๐ni mimi na Razorblade tuu๐คฃ๐คฃ
Atuachie Bale wetu tu sasa ๐Blitz curler๐ hongeraa
Usimshauri vibaya ๐Usiache kujaribu kaka ipo siku inatiki
Jichanganye ๐Me nimetulia kwanza