Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,160
- 10,402
OG siwapendi 😂Mchukue na Maigan kabisa 😃😃😃coin zi wanakuludishia kama 180 hivi😃😃
OG siwapendi 😂Mchukue na Maigan kabisa 😃😃😃coin zi wanakuludishia kama 180 hivi😃😃
Huko mbele kupata mabao mengi nishindwe mimi tu😂, Phenomenal finishing+Blitz curler itakuwa ni 🔥Me hata aje na skils ya Saving simuachi😃😃😃
Ngoja tungojeeHuko mbele kupata mabao mengi nishindwe mimi tu😂, Phenomenal finishing+Blitz curler itakuwa ni 🔥
Nilikuwa sitaki kutumia CF wote wenye playstyle 1 ila kwa hiki kinachokuja watacheza tu 😂
Ukinunua next match pass inapanda kote sasa si bora umchukue tuu atakusaidia event za ItaliaOG siwapendi 😂
Sema kwangu ataishia 101, halafu kumtoa Drogba first eleven roho itaniuma sana 😂Ngoja tungojee
Ngoja nikifungua game hiyo usiku ndo nitaamua chakufanya.Ukinunua next match pass inapanda kote sasa si bora umchukue tuu atakusaidia event za Italia
Unavyompenda Drogba😃😃😃Sema kwangu ataishia 101, halafu kumtoa Drogba first eleven roho itaniuma sana 😂
Physical contact mkuu 😂Unavyompenda Drogba😃😃😃
Hatari tupu 😂
Kwenye 400 hapo ludi mwanzo kabisa kwenye namba moja
Anhaa shukran mkuu, unazingatia sana 😂Kwenye 400 hapo ludi mwanzo kabisa kwenye namba moja
Niache mkuu we jana sijui ulipata demu mpya 😂Razorblade jobless ushaamka🤣🤣🤣
Nikupe setting zangu za Akanji😃😃speed anafika 88Anhaa shukran mkuu, unazingatia sana 😂
View attachment 3409474
Simu ilizima chaji nikalala😃😃😃tena katikati ya mechi na AiNiache mkuu we jana sijui ulipata demu mpya 😂
Nipe chap mkuu, ChatGpt amenipa ratiba ya mazoezi kwahiyo nataka niingie training kabla hakujakucha 😂Nikupe setting zangu za Akanji😃😃speed anafika 88
Nikajua ndo tayari kichwa umelaza kwenye mapaja 😂Simu ilizima chaji nikalala😃😃😃tena katikati ya mechi na Ai