Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,740
Efootball haihitaji wingers ni maplaymekers,hole players wawe kwenye wing sides kama, mfumo wa 4222 ndo best formation kwa sasaNimebadrisha mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-1-2(Old Meta).
4-2-3-1, huu mfumo uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa LBC na OW, changamoto niliyokuwa naipata ni striker kutembea eneo kubwa peke yake na kupelekea kutokuwa kwenye eneo husika kwa wakati, ukikutana na mtu anaetumia back 5 unaweza lia.
4-3-1-2(Old Meta), huu mfumo pia uko vizuri kwenye ushambuliaji na uzuiaji na ni mzuri kwa QC na PSSN unaweza tumia LBC pia, inakuhitaji kuwa na viungo imara na wepesi maana huu mfumo unahitaji kutawala eneo la kati ili kutengeneza nafasi, changamoto inakuja pale ambapo utakutana na mpinzani ambae yuko vizuri kwenye kutumia nafasi za pembeni zilizoachwa na viungo wakati unashambulia.
Kwa sasa 4-3-1-2 ndo mfumo ambao naufanyia mazoezi, natunza coins kwaajili ya Xabi Alonso mwenye mfumo wake wakati huo namvizia Kante wa free 😂.
Yani hili game linaweza kukufanya ukahisi tayari umekuwa kocha bado kupata leseni na timu tu 😂.
Me bado noob mkuu cheza na maproKuja uone vijana wanavo turn
Usiogope mm sio pro😂Me bado noob mkuu cheza na mapro
Sasa huyo Totti unamchezeshaje kama sio pro🤣🤣Usiogope mm sio pro😂
Striker 1 nilikuwa nashinda lakini kuna baadhi ya mechi nilikuwa napata tabu sana hasa kwa mtu anaetumia back 5.Efootball haihitaji wingers ni maplaymekers,hole players wawe kwenye wing sides kama, mfumo wa 4222 ndo best formation kwa sasa
Ukiweka stiker mmoja kila muda kawekwa mtu kati😂
Nitarudi kukushauriWakuu njoeni tutete kwanza huko dvn kumekuwa kugumu kwa upande wangu, niseme tu wengi hawajui kucheza na hawataki kujifunza kucheza 😂, sina maana mbaya ila napata tabu kuwafunga wanaocheza kwa kubutua yaani wakati mimi nataka kuburudika kwa kucheza mpira mzuri na kupata ushindi wao wanaburudika kwa kupata ushindi tu mpira mzuri hawataki 😂.
Mechi 12 nimeshinsa 2, sare 2, kufungwa 8, hizo sare 2 nilikutana na pira biriani wenzangu na hizo 2 za ushindi 1 nimekutana na pira biriani mwenzangu ila bahati haikuwa upande wake ila hiyo 1 sasa nikakutana na kanyaga twende namie nikasema kanyaga twende pia nauweza na bahati ikawa upande wangu ila kwa mbinde 😂, hizo nilizofungwa zote nimekutana na wasiojua kucheza.
Vuta picha unakutana na mtu anatumia possession game lakini ukienda uwanjani mwanzo mwisho ni ndege tu.
View attachment 3301146
Hii ndo hali yangu huko, nyie ambao mko dvn 1 na 2 nipeni mbinu ya kuwafunga hao jamaa.
Nakusubiri mkuu.Nitarudi kukushauri
Ukijidai kucheza vizuri division kimekulamba. Division mpira kazi tu, mpira mzuri cheza na AI 😀Wakuu njoeni tutete kwanza huko dvn kumekuwa kugumu kwa upande wangu, niseme tu wengi hawajui kucheza na hawataki kujifunza kucheza 😂, sina maana mbaya ila napata tabu kuwafunga wanaocheza kwa kubutua yaani wakati mimi nataka kuburudika kwa kucheza mpira mzuri na kupata ushindi wao wanaburudika kwa kupata ushindi tu mpira mzuri hawataki 😂.
Mechi 12 nimeshinda 2, sare 2, kufungwa 8, hizo sare 2 nilikutana na pira biriani wenzangu na hizo 2 za ushindi 1 nimekutana na pira biriani mwenzangu ila bahati haikuwa upande wake ila hiyo 1 sasa nikakutana na kanyaga twende namie nikasema kanyaga twende pia nauweza na bahati ikawa upande wangu ila kwa mbinde 😂, hizo nilizofungwa zote nimekutana na wasiojua kucheza.
Vuta picha unakutana na mtu anatumia possession game lakini ukienda uwanjani mwanzo mwisho ni ndege tu.
View attachment 3301146
Hii ndo hali yangu huko, nyie ambao mko dvn 1 na 2 nipeni mbinu ya kuwafunga hao jamaa.
Kabisa mkuu yani kucheza na AI au 1v1.Ukijidai kucheza vizuri division kimekulamba. Division mpira kazi tu, mpira mzuri cheza na AI 😀
Gemu mpk Libery na Kaka wanategemewa kweli hamna kitu hapo.Mtumie messi au frank libery.
DLS hiyo ndio weakness yake kubwa kwamba ligi ukiwa mzoefu unaona vibonde ndio maana Mimi nimeacha kitambo sana na enjoy online games tu .Kuna mshikaji anacheza hili, Ronaldo msimu anafika goli 115
Endelea kucheza DLS.Gemu mpk Libery na Kaka wanategemewa kweli hamna kitu hapo.
Shusha username tuku addAI kuwin legend ya epl Bila kufungwa hata mechi Moja kwangu imekua mtiti(natumia base team timu ndogo na sikopi kina gaucho wa mkopo)
Ngoja dkk 5 naingiaMkuu code tupashe.