eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ukifika rating 1650 AI wanafanya vitu ambavyo hata Physics yenyewe inashangaa😀. Nimebadili formation zaidi ya mara 7 ila pumzi ilikua ya moto. Back 5 ndio imenivusha.
Huwa nasema hawa Ai huwa ni wafanyakazi wa konami wanabadilishana kucheza na sisi🤣🤣🤣
 
Nilikuwa napiga hesabu za kuletwa kwa CB(Destroyer) lakini wameleta tena Build up 😡
IMG-20250717-WA0011.jpg
 
Card ya Akanji kwangu haipo mkuu, huenda yupo kwenye nchi nyingine.

Nilikuwa namtaka sana tu.
We ipo kote kwenye matchpass pale sema ndo mia nane😃😃😃kama ulishawai nunua mchezaji kwenye match pass ksma bado atakuwa mia nne..

Utaniambia nikupe setting za speed anafika 88

Nenda kwenye mission pale then chagua match pass nadhan ni ya pili
 
Anhaa! Nilikuwa sijakuelewa bado, nimekuelewa sasa nitapita nae usiku 😂

Napita nae na coins zitaendelea kubaki 1000+ 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom