eFootball Special Thread

Leo nikasema niguse guse division 🤣🤣🤣 nikasahau kuwa nitakuwa nacheza na wa div one🤣🤣🤣 uzuri nafungwa lakin nakatwa point chache nikambahatisha na mimi mtu napewa point za kutosha 😃😃🤣🤣


Ila division watu wana sifa mtu anacheza na DMF wanne na wawili kawapa deepline plus anacheza LBC anategemea me nipite wap
 
Nmesahau email so nimepoteza my best squad natafuta anayeuza kikos anicheki
Muuza vikosi Maarufu Tz ni huyu Jamaa Mr Balle +255 747 296 603 mcheki Whatsapp huyo



Humu labda Edo kissy akuuzie account yake moja tupumue🤣🤣🤣pamoja na Gilberto_ na yeye
wana account mbili mbili afu zote kali balaaa😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…