Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Tupo pamoja😃😃 nakumbuka umenifunga game zote tulizochezaUnyama mkuu
Tupo pamoja😃😃 nakumbuka umenifunga game zote tulizochezaUnyama mkuu
Unataka kulipa kisasi?Tupo pamoja😃😃 nakumbuka umenifunga game zote tulizocheza
Ana balaa tatizo hana one touch pass wala through passingHii card ya mbappe yenyewe sana kuliko yule wanayetupa
Hapana mkuu najaribu kujitetea leoUnataka kulipa kisasi?
Huyu pia hana balanceAna balaa tatizo hana one touch pass wala through passing
Kwani tumeikosea nini mizimu ya Tanganyika kiasi cha kutuletea bahati mbaya hadi Konami 😂Ile account yangu ya japan ngoma imeweka kama sio mara 10 sijui na zote hola...
Account yangu ya kawaida nadhan baada ya kunipa Owen wameona nimemaliza sihitaji tena watu🤣🤣🤣
Oya huwa unafatilia zile meseji za mjukuu wangu na ndagu nini 😂Account one nikapewaView attachment 3400275
Kuna jamaa analalamika anae wa 105 halafu wamempa tena huyu 😂Huyu mtu kaka hongera😃😃✊
Mkuu hichi kikosi daah hapo mbele Batigoal na Adriano misifa 😍
Hapa namtaka Palmer tu huyo Mbappe starts zake haziwezi mfikia yule wa bure, huyu hapo ametoka kuumwa amepoteza karibu kg 6.
Halafu ni DLF sasa 😂Hii itakua pack pekee itayoingizia pesa nyingi Konami🤣🤣
Hivi imebakiza muda gani kwanza maana sipati SS wa kueleweka, nikiichukua namchezesha kama SS.Hapa naipiga hesabu ile card ya messi ya 1800 sijui ninunue tu coin
Hawezi kuwa nayo wakati alikuwa mgonjwa 😂Huyu pia hana balance
Imebakiza mwezi😃😃kamchukue Dembele pale ni Ss naturally...Hivi imebakiza muda gani kwanza maana sipati SS wa kueleweka, nikiichukua namchezesha kama SS.
Acha tuu kaka😃😃😃sema me waje tuu nina furaha ya kocha wa LBC plus ile card ya kimmich ya Captain Cubasi ilikua inanikera nimechukua nyingine leoKwani tumeikosea nini mizimu ya Tanganyika kiasi cha kutuletea bahati mbaya hadi Konami 😂
Konami hawanaga baya😃😃Kuna jamaa analalamika anae wa 105 halafu wamempa tena huyu 😂
Sio powMkuu hichi kikosi daah hapo mbele Batigoal na Adriano misifa 😍